Home Lyrics Lyrics | Kings Music – Alikiba , Abdukiba ,Cheed , Killy &...

Lyrics | Kings Music – Alikiba , Abdukiba ,Cheed , Killy & K-2GA – TOTO

283
0

Yo! Yebaba! Uuuh…. Ahh moco Vijana wangu wa maskani mi nawakacha Story nyingi mi wanazoniopa mi nawakata Shori zigizaga zarizo za bamba ta Mi ndo nataka Mi ndo nataka Heehee vi jajana wangu mi nawakacha Story nyingi wanazonipa mi nawakata Shori zigizarizo za bamba ta Mi ndo nataka … Mi ndo nataka yeah [CHORUS] Don’t you know Don’t you know that Umenikamata kamata Don’t you know Yaani don’t you know mama don’t you know Umenikamata kamata Don’t you know Toto we toto unanidanganya danganya Kama Mtoto (Toto) Toto we toto unanidanganya changanya Kama Mtoto (Toto) Toto we toto unanidanganya akili Kama Mtoto (Toto) Toto we Mtoto ooh Kama Mtoto (Toto) Lololololoooo aaah (Mhhhh) Jaribu kuja kidogo Zama ndani tizama Usijelianzisha zogo Aya aaah ayayaaa yee Leo sitokwacha upotee Nikupeleke kwenye video Natena sitaki ukosee baby (Aaah) njoo utambe na ukidili Nasingle so siri utapotea My darling naamini Wakikubezabeza usijali I don’t care Wabaya ndo wanaona donge Wacha wanga wanywe vidonge Honey tulicheze lizombe Usizidishe kipimo cha pombe Nabembea, pepea bembea Bendera pepea Raha Zaidi ukibembea Bembea bendera pepea [CHORUS] Don’t you know Don’t you know that Umenikamata kamata Don’t you know (mmhh) Yaani don’t you know Mama don’t you know Unenikamata kamata don’t you know Toto we toto unanidanganya danganya Kama Moto (toto) Toto we toto unanichanganya changanya Kama Mtoto (toto) We Mtoto we Mtotoo unanivuruga akili Kama Mtoto (Toto) We Mtoto we Mtoto ooh Ayo yo yo ooh… Ayo yo yo ooh

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here