Home Lyrics LYRICS | Maua Sama Ft Hans Tone – Iokote

LYRICS | Maua Sama Ft Hans Tone – Iokote

183
0

[MAUA SAMA] Hey heey…. Oh uuuh yeah Oh baby, niruhusu tufanane Huku nikiamini one day, utanioa aah Baby nikikuona nabanwa na haja Baby nakuwaga kitutu ng’ag’a Tell me nikipita kupa mawazo Ooh baby kati nakutunuku mia mia Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi usigande Kama ruba nigande Tuwe wote eeh Aah come baby come babe Msumali kwa nyundo nigonge Ohh Monday to Sunday I love you [HANSTONE] Mmmh oh basii (lokote) Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote) Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote) [MAUA SAMA] Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote) Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeaaahh… Baby … baby [HANSTONE] Ikitoka kuoga nipende ya moto moto (aah) Tinga moka kitenge totoke mtoko (aaah!) Boda kwa boda tutembee (Chocho kwa choko) Tena nikichoka nibebe (me kwako mtoto) Aiye eh Rafudhi ya Pemba rangiani hai (hai) Nywele kihindi chambi chambi (nai) Cheza rafu kona bambii, Mpoko mpoko Heeeii Refa katupa penatii (ahaa eeh) Mpira ushawekwa katiiii (aahh eeh) Nahitaji magoli kwa chenga zako Piga shuti nikudalie Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi zigande Kama ruba nikugande Tuwe wateee (eeh) Uhuu yeeeeh [HANSTONE] Aah come baby come baby Msumali kwa nyundo nigonge Ohh Monday to Sunday I love you Mmmh oh basii (lokote) Sio kwa beds kwa kochi kitandani naichumia (iokote) Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote) Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote) Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeaaahh… Baby …

Maua Sama Ft Hans Tone Iokote Audio DOWNLOAD

Iokote Cover by Bosco Tones DOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here